[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Kutoka monduli hadi Ilulu, Bashiru, Lusinde, Majaliwa wakutana kupanga mipango mizito ya Mwaka 2022
Saa saba mchana siku ya Jana ndani ya Hotel ya sea view Hotel iliyopo mkoani Lindi yanaingia magari tofauti tofauti haifahamiki magari haya yaliingia Lindi siku gani ila katika ukumbi wa hotel ya Sea view resort siku ya Jana kumefanyika kikao cha siri. Dkt Bashiru Ali na Livingstone Lusinde...www.jamiiforums.com
Kutoka monduli hadi Ilulu, Bashiru, Lusinde, Majaliwa wakutana kupanga mipango mizito ya Mwaka 2022
Hii chupa au ni lile bomu la kurushwa😂😂🙌Na mie nimo nami [emoji6]View attachment 2063195
Vituko mitandaoni[emoji3][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Tuhamie CHADEMA sasa [emoji16][emoji16]
View attachment 2065281
Ndiyo. We si ndiyo unawekaga mambo ya siasa humu. Mi nilikuwa nakuunga mkono tu. Sipendi siasa kwa moyo wangu wote!Vituko mitandaoni[emoji3]