Huyo jamaa (aliyebebwa) alihisi kuwa dem(aliyembeba) wake ako na mahusiano na mtu mwingine, alichokifanya ni kumkata masikio yote mawili na kuondoka nayo. Kisha alimtishia kuwa angemuua ikiwa atamwambia mtu kilichotokea hadi akatwe masikio....Boss hii story inahusu ninii,na kwanini wakatane masikio?
Ccm ni tatizo la nchi nzim.
Daaah watu wametoka mbaliNa mie nimo nami [emoji6]View attachment 2063195
Nampa pole , awe mpole tu wengi tusio wachumia tumbo tupo nyuma yake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama ulihisi unapitia wakati mgumu sana, jaribu kuvaa viatu vya ndugai.. Huyu ndio anaumaliza mwaka vibaya na kuuanza mwingine vubayaView attachment 2064500View attachment 2064501
Njaa mbaya
Wangemuita musemuku[emoji3525][emoji3525]View attachment 2064975View attachment 2064976