Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

IMG-20211231-WA0543.jpg
 
Wana JF wenzangu tunapoelekea mwaka mpya ifike mahali tuheshimiane, nimevumilia sana ila nimeshindwa. Kwa maoni yangu na sitaki kumponda mtu yeyote, baada ya kutafakari sana na kupima uzito kwa pande zote, ninachodhani na ninadhani na nyie pia mtakubaliana na mimi, maana ni jambo lipo wazi kabisa, ikibidi nitakumbusha na mifano kadhaa kwa mustakabali wetu kama kikundi, mi naomba tu niseme na nina sababu za kuamua kulisema hili hapa. Kwa sababu zilizo wazi na nahisi na nisinukuliwe vibaya nasema hivi,(ingawa kiukweli sijali itakavyotafsiriwa na wengine) na pia nataka wote muwe mashahidi, kwakweli hata sikumbuki nilikuwa nataka kusemaje
 
Back
Top Bottom