Pesa kiduchu mno,au labda zile taarifa alikua hanunui anapewa bure tu???[emoji15][emoji15][emoji15]
View attachment 2064344
Lakini kwa sasa anaishi Masaki. Likely hiyo ni malipo kiduchu tu ya mlipaji mmoja. Malipo ya wazungu je? Likely ni millions $Pesa kiduchu mno,au labda zile taarifa alikua hanunui anapewa bure tu???
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tunaonewa sana yaani dah.
Mwaka mpya mwema mai furendi [emoji1545]
Yutong halafu dah [emoji91][emoji91][emoji91][emoji8][emoji8][emoji8]
Hiki kiti kinakula good time sio poa[emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hakyanani wazazi wangekuwa wanapita huku mtandaoni na wanajua Id za watoto wao huko nyumbani watu wangezikwa
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti ni kweli? View attachment 2064197
Ikifika saa sita ya kwanza ya mwakani utakumbuka kuwa ni kututakia heri ya mwaka mpya 2022Wana JF wenzangu tunapoelekea mwaka mpya ifike mahali tuheshimiane, nimevumilia sana ila nimeshindwa. Kwa maoni yangu na sitaki kumponda mtu yeyote, baada ya kutafakari sana na kupima uzito kwa pande zote, ninachodhani na ninadhani na nyie pia mtakubaliana na mimi, maana ni jambo lipo wazi kabisa, ikibidi nitakumbusha na mifano kadhaa kwa mustakabali wetu kama kikundi, mi naomba tu niseme na nina sababu za kuamua kulisema hili hapa. Kwa sababu zilizo wazi na nahisi na nisinukuliwe vibaya nasema hivi,(ingawa kiukweli sijali itakavyotafsiriwa na wengine) na pia nataka wote muwe mashahidi, kwakweli hata sikumbuki nilikuwa nataka kusemaje[emoji848][emoji848][emoji848]
Africa, I love you [emoji1545][emoji1545]
View attachment 2064337
Nyie huko mwaka huu mmebahatisha rais mzuri. Na huku kwetu ni wa kwenu. Mshindwe wenyewe tu safari hii wallahi