Ndio utajua ujui
Sio wa geography? [emoji1787]
Nyuki wameshafanya yao [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwa nini isiwe Kiswahili au English?Sio wa geography? [emoji1787]
Geography kiboko yao mzee babu.Kwa nini isiwe Kiswahili au English?
Physical Geography bado ngumu...
Geography O'level na A'level HGE nilipata A. Geography rahisi sana sema tu inabidi uwe makini na vi-details vidogo vidogo na wakati wa mtihani uache mbwembwe...Geography kiboko yao mzee babu.
Halafu kuna vichaa ati wanakuja na A[emoji15]
Jamani dah!Na mie nimo nami [emoji6]View attachment 2063195
Kwani hii haipenyi?[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]Na mie nimo nami [emoji6]View attachment 2063195
Dduuh [emoji106]Geography O'level na A'level HGE nilipata A. Geography rahisi sana sema tu inabidi uwe makini na vi-details vidogo vidogo na wakati wa mtihani uache mbwembwe...
Ha ha haaaaa haaa. Sijui yupo ilowahi kumtokea. Kutishana tu"Ukikaza matako sindano itavunjikia ndani" F** childhood [emoji174][emoji23]