Ilisemwa hivyo - kwamba ni yeye, February na mwingine hivi simkumbuki. Ila kutokana na unyeti wa baadhi ya siri zilizokuwa zikivuja kuna hata wanaodai kuwa eti yawezekana pengine maza mwenyewe ndiye alikuwa Kigogo #1.Si walisemaga Nape ndiye Kigogo mwenyewe!
Kwahiyo kuna Nape kisha kuna Kigogo.
Wahuni siyo watu
Sent from my SM-J810F using JamiiForums mobile app
Mzee wa goli la mkono [emoji16][emoji16]Mzee Lowassa pamoja na mihela yake, lakini muhuni mmoja alimkwamisha asiguse majengo ya Ikulu.
Wahuni siyo watuView attachment 2043980
Hao wanyakyusa walituandikia vitu kibao ika waliishia kula m moja na nusu na deni wanadai mpaka leo na mtoto wao nimempiga watoto watatu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]UsithubutuView attachment 2037413
Tangu lini misa ya kwanza ikawa na Pisi zilizotukuka?[emoji16]
View attachment 2043396
Hehe! Pole!Yeah. Kitu inaweza kuwafanya nyie ni Dildo.
View attachment 2043925
Hahaha[emoji23]Duuh,kumbe ukali wa sindano tu nyuma uzi unaingia
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Kumbe umeoa dada yangu? Teh wanyaki ikabidi wawe wapole tu. Mungu awatunzeHao wanyakyusa walituandikia vitu kibao ika waliishia kula m moja na nusu na deni wanadai mpaka leo na mtoto wao nimempiga watoto watatu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
SawaAkali hiyo siyo shida.
Ukifika nitafute
Hahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]Ilisemwa hivyo - kwamba ni yeye, February na mwingine hivi simkumbuki. Ila kutokana na unyeti wa baadhi ya siri zilizokuwa zikivuja kuna hata wanaodai kuwa eti yawezekana pengine maza mwenyewe ndiye alikuwa Kigogo #1.
Yatajuana menyewe!