Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Anafikiri kupiga mapunyeto siyo kuua [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]

Hujambo? Kuna binti wa kabila lenu hapa amenizoea ghafla halafu kafungasha hatari. Nitaleta mrejesho soon [emoji16][emoji16][emoji16][emoji85]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sijambo mdogo wangu!
Kabila lipi hilo? Maana mie nimebadili kabila.
 
Dah!
IMG-20211213-WA0111.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sijambo mdogo wangu!
Kabila lipi hilo? Maana mie nimebadili kabila.
Subiri mrejesho kabila utalielewa tu [emoji16][emoji16][emoji16]

Ila nanyi mkiamua kuwa wazuri dah! Huyu mpaka ananitisha yaani. Pisi imepanda halafu smooth ule weusi wa mng'aro umbo mkatiko guu sasa na hapo kiunoni uwiii [emoji39]

Eti mdogo wako? We hata ka last born kangu kanakuzidi umri!
 
Back
Top Bottom