Anko zingatia hilo
Nimeielewa anko[emoji120]
Boya naye huyu. Torosha huyo au tandika mimba [emoji16][emoji16][emoji16]
Wasukuma wengi tumeoa Wachaga na Wanyaki. Mimi mwenyewe niko mbioni kuvuta Mnyaki. Nadhani misambwanda na weupe vinatuzuzua [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Byutifu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Wewe ni mnyama kama huyoView attachment 2044342