Hili litakuwa jambo zuri sana.
Kiroboto[emoji23][emoji23]Ma CCM yanapapurana waziwazi mpaka raha yaani. Sema Wapinzani nao wamebanwa hawafurukuti wamebebeshwa ugaidi wengine wako Ubelgiji na Canada wamebakia tu kubwabwaja wakiwa mbali bila madhara yo yote....
View attachment 2043247
Mbona wapo ambao hawapiki kweli arif. Na hamna kitu mnawafanya.Online: Mi Boss Lady siwezi mpikia mwanaume kwani si wote tumetoka kazini.
Kwa Ground:View attachment 2043679View attachment 2043682
Tulia ww tom boy. Acha kihere here.Mbona wapo ambao hawapiki kweli arif. Na hamna kitu mnawafanya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sijambo mdogo wangu!
Kabila lipi hilo? Maana mie nimebadili kabila.