moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 158,322
- 775,813
AnkoSawa
AnkoSawa
AbeeAnko
Wasukuma wengi tumeoa Wachaga na Wanyaki. Mimi mwenyewe niko mbioni kuvuta Mnyaki. Nadhani misambwanda na weupe vinatuzuzua [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Kumbe umeoa dada yangu? Teh wanyaki ikabidi wawe wapole tu. Mungu awatunze
Huo ndiyo uanaume sasa. Ukizubaa wanakubambikiza makorokocho kibao. Mimi niko napambana nao hapa...nawalia timing nimshone mimba binti yao nione kama hawatapunguza bei [emoji16][emoji16][emoji85]Hao wanyakyusa walituandikia vitu kibao ika waliishia kula m moja na nusu na deni wanadai mpaka leo na mtoto wao nimempiga watoto watatu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ilikua ngum Sana eeeennn[emoji23]
Walikua na adabu. Kumbe Ni kukosa intaneti[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ushirikina wa kipuuzi.Mizimu mizito halafu wametoa pesa mbuzi [emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2044212