Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Screenshot_20211213-210948.jpg
 
Kesho nawahi kununua dozi ya siku 31
This is serious hasa ukizingatia kuwa utafiti huu umeendeshwa na FDA yenyewe. Kuna matumaini makubwa kwamba pengine Alzheimer itapata dawa...ugonjwa wa hovyo unaomfanya mtu asahau kila kitu na hata matendo ya kawaida kama kula na kujisaidia hawezi tena. It will be a significant medical breakthrough!
 
Utatoboa tu mama usiwe na wasiwasi. Endelea kuuminya upinzani hivyo hivyo na hakikisha mabilioni hayo unayokopa yanawafikia wananchi wa chini...na uwe mkali kidogo siyo mipasho tu...Ikishindikana goli la mkono la yule "mhuni" litumike. 2025 na 2030 utatoboa tu...Cha muhimu tu Molla Akuweke hai
IMG-20211213-WA0098.jpg
 
Back
Top Bottom