Muuza viatu
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 3,839
- 7,924
.
Hahaaa ataumaliza kweli huu mlimaOna ulikoenda sasa. Hata haina uhusiano na mada yetu ya vyakula. Hoooooovyooo!
Yes...Wasukuma ni ugali. Ona hapa nilivyo na furaha
View attachment 2040548
Napenda slim lakini hizi paja kama mwiko hapanaPipa liko wapi hapo mkuu?
Who knows poetry knows the language of the gods
Vimbaumbau vyako hivi hapa....
View attachment 2040065View attachment 2040066View attachment 2040067
Kwa aina hii ya majibu sidhan km kwel ww ni msukuma labda km umechukua kabila la momDunia hii ni kubwa na ina tamaduni lukuki mkuu. Usishangae!
Mkuu umenichekesha sana. Wasukuma kwani tukoje ndugu yangu? Mimi ni Msukuma kabisa orijino kwa baba na mama na nipo hapa Misungwi nalima nyanya na dengu. Siku ukizungukia mitaa hii nitafute nikuchinjie mbuzi.Kwa aina hii ya majibu sidhan km kwel ww ni msukuma labda km umechukua kabila la mom![]()



Inapendekezwa angalau lita tatu kwa siku mkuuNisaidien wadau kiwango cha chin kabisa cha kunywa mma ni kias gan kwa sikuiView attachment 2040726









Nimeyaona manini mjukuu?Umeyaona?