Wawili? Hata kumi [emoji16][emoji16][emoji16]Mtajuana tu[emoji3],najuaView attachment 2040887
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kumi kwa mmoja?Wawili? Hata kumi [emoji16][emoji16][emoji16]
Ameshamuachisha kabisa au ndio atamuachisha usiku huo? Akigoma kuacha je? Maana hivi viumbe vina visa kama baba zao
Siwezj kuwatetea wasukuma[emoji41]Sijawahi kukuona ukitutetea Wasukuma tukitaniwa. Kwa nini hawa unawatetea?
Niliwahi kujaribu hii kitu, homa sijui ikitokea wapi?. Hii kitu sio pia kabisa.
Umpate Mzanzibari unataka kugundua nini?Kumbe[emoji41]
Nimpate mzanzibar basi[emoji7]