Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,384



Hahaha mashairi na vina BTWBado naikumbuka sawia
Siku ile yenye pambazuko jema
Dunia yako na yangu zilipopishana
Katika konde la ujana wetu
Mgusano ule wa miali mikali
Uliwasha mioto katika mitima yetu
Njoo ewe binti mwema wa watu
Uliyelelewa katika bonde la hekima
La yule mzee mpole aliyekupenda sana
Njoo tukumbatiane katika baridi hii kali
Mpaka walimwengu watakapotughasi
NERF Nakusubiri!
View attachment 2039992
Huyu mwanmke vipi tena analalaje na chupi wakati yupo na kidume kitandaniBado naikumbuka sawia
Siku ile yenye pambazuko jema
Dunia yako na yangu zilipopishana
Katika konde la ujana wetu
Mgusano ule wa miali mikali
Uliwasha mioto katika mitima yetu
Njoo ewe binti mwema wa watu
Uliyelelewa katika bonde la hekima
La yule mzee mpole aliyekupenda sana
Njoo tukumbatiane katika baridi hii kali
Mpaka walimwengu watakapotughasi
NERF Nakusubiri!
View attachment 2039992
Pipa liko wapi hapo mkuu?Hahaha mashairi na vina BTWView attachment 2040059



Dunia hii ni kubwa na ina tamaduni lukuki mkuu. Usishangae!Huyu mwanmke vipi tena analalaje na chupi wakati yupo na kidume kitandani
Mwee tamaduni ya kijinga hiyo mwanamke na mwanaume kitandani hawatakiwi kuwa na kyupi unless mrembo yuko periodDunia hii ni kubwa na ina tamaduni lukuki mkuu. Usishangae!
Bado natafuta kilichozungushiwa hapa..maana huwa mnazungushia kingine wakati attention ipo sehemu nyingine kabisa
Kwahiyo bado hujaonaBado natafuta kilichozungushiwa hapa..maana huwa mnazungushia kingine wakati attention ipo sehemu nyingine kabisa




Mwee tamaduni ya kijinga hiyo mwanamke na mwanaume kitandani hawatakiwi kuwa na kyupi unless mrembo yuko period









Vipi yanafaa kwa tamaduni zetu zile?Nitapataje majivu yake?