Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Kuna baiskeli zina gia na injini. Huwezi kuziovateki!
Matako yangu na bado nipo kwetu[emoji2957]sihami kisa tangazo la chai jaba babu[emoji1787]Nimeyaona manini mjukuu?
Nakuaminia mjukuu [emoji122][emoji122]Matako yangu na bado nipo kwetu[emoji2957]sihami kisa tangazo la chai jaba babu[emoji1787]
Waacheni[emoji41][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji706][emoji706][emoji706]
View attachment 2040856
Ameshamuachisha kabisa au ndio atamuachisha usiku huo? Akigoma kuacha je? Maana hivi viumbe vina visa kama baba zao
Sijawahi kukuona ukitutetea Wasukuma tukitaniwa. Kwa nini hawa unawatetea?Waacheni[emoji41]