Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Ndiyo maana hata wazungu walipofika Afrika waliita karibu kila kitu katika utamaduni wetu kuwa ni cha kijinga...

Si tamaduni zote zinaendekeza ngono kama mtu mweusi kamanda. Japan huko na hata baadhi ya nchi za Scandinavia ni kawaida kila couple kuwa na chumba chake au kitanda chake. Wana mambo mengine ya kuwaza/kufanya badala ya kugegedana tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Mhm hizo somjo hamna watu duniani wanaendekeza ngono kama wadhungu....cheki porn industry inavyopepeta ulimwenguni.
 
So kwa mujibu wa Papa Mungu hayuko siriaz sometime[emoji851]
Screenshot_20211211-085857-1.jpg
 
Mhm hizo somjo hamna watu duniani wanaendekeza ngono kama wadhungu....cheki porn industry inavyopepeta ulimwenguni.
Wazungu nimeishi nao sana nawajua in and out. Hata robo hawatufikii katika kudinyana...

Porn industry ni biashara ya mabilioni na wale wako vizuri sana kwenye biashara. Na wote unaowaona kwenye porn ni waajiriwa halali sawa tu na wacheza sinema wa Hollywood. Haina uhusiano na ethnic group.
 
Hahaha... Shimba am sure hujawahi kula tule tumshkaki twa miamia.. Vile vinyama vidogo vidogo vilivyo na utamu wake[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Mimi ni buludoza sichaguagi...ila chakula changu kikuu tangu nakua ni Yutong nyeupe ndefu zilizofungasha uwiii...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]

0ff993c60afd5ecefdbe171cbacc0225.jpg
 
Back
Top Bottom