Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kumekucha
Screenshot_20211210-231330-1.jpg
 
Bado naikumbuka sawia
Siku ile yenye pambazuko jema
Dunia yako na yangu zilipopishana
Katika konde la ujana wetu
Mgusano ule wa miali mikali
Uliwasha mioto katika mitima yetu

Njoo ewe binti mwema wa watu
Uliyelelewa katika bonde la hekima
La yule mzee mpole aliyekupenda sana
Njoo tukumbatiane katika baridi hii kali
Mpaka walimwengu watakapotughasi
NERF Nakusubiri!

Tumblr_l_579058311159938.gif
 
Back
Top Bottom