Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,380
Kulikuwa na shida gani kwenye hoteli ya kwanza? Msosi ulikuwa kidogo ama?Hii mimi imeshanitokea japo hakutokea mtu aliyeniona (au tuliyekuwa wote) kwenye mgahawa wa mwanzo lakini hakiyamungu nakuhakikishia huli kwa amani tena katika kujishtukia shtukia hata unaweza kuropoka
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app






