Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

.
IMG_20210731_204901.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili swali ni la kiboya sana na halipaswi kuulizwa...na hata likiulizwa linapaswa kujibiwa kwa uangalifu sana. Naliandikia uzi kabisa ili niwachane wanaume wenzangu waache kuliuliza; na niwape mwongozo wa kisaikolojia mabinti jinsi ya kulijibu.

Kila mwanaume anatamani sana binti anayekutana naye (hasa kama lengo lake siyo kumla tu na kusepa) awe hajaguswa (hata kama yeye kagusa kila kona). Kutokana na premise hii, hata kama angepewa namba ndogo kwa kadri inavyowezekana, bado ataumia tu. Sasa akikutana na hawa mabinti wa kisasa hawa ambao hawajafundwa, atapewa mpaka saizi ya mshedede wa ex, alivyokuwa anapelekewa moto na ex mpaka anaona rangi rangi, jinsi alivyokuwa anajaribu kuifinyia kwa ndani anashindwa...na utopolo mwingine. Kama lengo la brod ni kula tu basi atabaki ili naye apige halafu asepe lakini kama ni muoaji anaweza kudhurika jumla akaona hapa hakuna kitu hapa...

Nitakutag mtumishi mwema uzi ukikamilika

Ha ha ha!! ila kweli mwanamke ninayekusudia kuoa kabisa bora aniongopee, ila asiwe mkweli alivyonyanduliwa na wanaume, kama vipi hata aniambie aliliwa na mmoja na alilazimishwa tu hakufahi wala hakupenda.....
Sema mwanaume kama umempata unayetaka kumuoa acha hayo maswali ya historia, yatakutesa bure maana sisi wanaume tunaishi kiushindani zaidi, tunapenda kujilinganisha na tuna ego na kiburi tangu udogoni, na ndio maana mke akichepuka ndoa huwa imeisha hiyo, hata mkirudiana haiwi tena ndoa, maana kila ukimla unawaza hilo dushe alilolifuata huko, urefu na unene wake, kwamba kama mwanaume umezidiwa na limwanaume lingne huko limemla mkeo, yaani kwa kiburi chetu haitokuja siku upone, bora kuvunja ndoa tu.
 
Back
Top Bottom