Sketch ya mwanzo ila kilichokuwa kikichorwa tofauti na imaginations za waja wenye kukimbilia kwenye conclusions zao,Kipaji cha kuchora unacho ila unavyokitumia sasa ndo shida![]()

. Asee n amesmamia ukucha, sjui kalishusha kidogo ss wafugaj ndyo tunapata changamoto kubwa maana majani ya kulisha mifugo hakuna kila sehem n jangwa.
Hawa n wadudu wa kwny mbolea, iskute wanaliwa 🤨
Drama.Nchi hii imepitia mambo mengi sana!
View attachment 2005068
Daawa-Ilmu-DarsaHili swali ni la kiboya sana na halipaswi kuulizwa...na hata likiulizwa linapaswa kujibiwa kwa uangalifu sana. Naliandikia uzi kabisa ili niwachane wanaume wenzangu waache kuliuliza; na niwape mwongozo wa kisaikolojia mabinti jinsi ya kulijibu.
Kila mwanaume anatamani sana binti anayekutana naye (hasa kama lengo lake siyo kumla tu na kusepa) awe hajaguswa (hata kama yeye kagusa kila kona). Kutokana na premise hii, hata kama angepewa namba ndogo kwa kadri inavyowezekana, bado ataumia tu. Sasa akikutana na hawa mabinti wa kisasa hawa ambao hawajafundwa, atapewa mpaka saizi ya mshedede wa ex, alivyokuwa anapelekewa moto na ex mpaka anaona rangi rangi, jinsi alivyokuwa anajaribu kuifinyia kwa ndani anashindwa...na utopolo mwingine. Kama lengo la brod ni kula tu basi atabaki ili naye apige halafu asepe lakini kama ni muoaji anaweza kudhurika jumla akaona hapa hakuna kitu hapa...
Nitakutag mtumishi mwema uzi ukikamilika![]()
Rudi kalale utakutana nae ndotoni.
Saaa hii nywele zangu zmeungana na nyusi, znaelekea kwny kope znizbe macho nijikwae nife 😩😩😩😩
Huyu kaishiwa sera, anatafuta kiki.......kaona kakaa sku mingi bila kuskika anaanza kutafuta kiki, tena atuache aaachane na wachaga jaman kama yy kashajitoa uchagani ss atuache.
Hopefully Xavi atarejesha furaha Barcelona, visca Barca.Kumbuka Guardiola alipewa Barcelona akitokea Timu B ya Barcelona na akafanya makubwa hapo Catalonia.
Gianluca Vialli ambaye alikuwa mchezaji, alipewa Chalsea ambayo naye ameisaidia kiasi cha kutosha.
Kuna makocha kadha walipewa timu wakiwa hawana mataji walikotokea, wakapata mataji kwenye timu zao mpya.
Vinginevyo mnaweza kumuajili kocha mwenye mafanikio mengi alikotokea lakini kwako akachemsha.
Mfano wa hivi karibuni muangalie Jose Morinho.
Ameshindwa kuinyanyua Man United na hakufurukuta akiwa na Tottenham Hotspur.
Aseee! Unatufikirisha nn jamani😫😫😫