Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Ngoja na ww siku wakutumie za aina hyoHuyu mum n shidaaa[emoji2955]
Labda alambe kwa nyuma or awe na kiberiti cha gas.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]HATOBOI HUYU MAPEMA TU....View attachment 2004809
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Kumbe ni opener.Kizazi hiki bana...kina changamoto lukuki [emoji16]
View attachment 2003584
Kumbuka Guardiola alipewa Barcelona akitokea Timu B ya Barcelona na akafanya makubwa hapo Catalonia.Sijakataa kuwa kwenye mpira mi ni mweupe japo si sana. Ila,narudia tena,kocha ni pamoja na mafanikio.
Kuna zile,kaifikisha timu hii hatua fulani,kachukua kombe fulani,nk.
Mfano Pitson wa Al Ahly,anaenda pale kutoka Mamelodi,kawafanyia nini Mamelodi hadi Al Ahly wakamuona!?
Tangu mwaka 1992 anatembea na moto[emoji849][emoji849]Kuna vitu mwanaume hawezi amini asilani abadanii,mpaka ahakikishe kwa vipimo vyake maalumView attachment 2004535