Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Imbombo ngafu
Alivyomfanyia Mohammed Morsi siyo poa kabisa [emoji706][emoji706]Safi sana.
Akakutane na dikteta Abdel Fatel al Sisi
Kipaji cha kuchora unacho ila unavyokitumia sasa ndo shida [emoji16][emoji16][emoji16]
Nice message Mtumishi Mwema. It should apply to both genders. It hurts when you give it all to a person who is myopic, egotistical and has no clue as to what they want in a partner. I dubb them emotional terrorists [emoji706][emoji706][emoji706][emoji122][emoji122]View attachment 2005027
Nimeshangaa sana. Kuna wakati alisemwa kuwa pengine ataukwaa uwaziri wa fedha. Labda ndo mikakati myenyewe hii...Huyu mzee angekuwa msukuma kisha aje atoe maneno haya kwa Wachaga....[emoji849][emoji849]
Dunia ingesimama
Lakini daaa, kweli mtu kwao.
Wachaga lipeni kodi jamani