Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Jumaaa
IMG_20211108_072939.jpg
 
Hiyo siyo moja sifa zinazomfanya kocha mwenye wasifu mzuri kuajiliwa.
Vinginevyo Ole asingepata kazi Man United, Wala Gerrard asingepata kazi Glasgow Rangers, wala hata Zidane asingepata kazi Real Madrid.
Japo mimi kwenye mpira sijui kitu saana,ila naamini,mafanikio ya kocha kwenye vilabu alivyopitia huwa ni bonus kwa kupata kazi.

Yaani Ole na Gerald ulivyowataja tu na maisha yao vilabuni umeonesha kabisa kuwa mafanikio ni kitu muhimu.

Hukumbuki Gerald alivyosota Chelsea!?
Ole anavyohenya leo pale Man U!?
Zidane credit,na ndo pekee aliyekuja kwa mafanikio.

Sasa huyu weno wa Kuwait,hana hata Mapinduzi Cup ya huko alikopita,unategemea nini.

Akifika mwezi wa 6 mwakani,nakupa Elfu 50,utanikumbusha.
 
Back
Top Bottom