moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 156,142
- 770,236
Nadhani kama ulivyosema kwenye mpira wewe mtupu, bora tusimame hapo.Japo mimi kwenye mpira sijui kitu saana,ila naamini,mafanikio ya kocha kwenye vilabu alivyopitia huwa ni bonus kwa kupata kazi.
Yaani Ole na Gerald ulivyowataja tu na maisha yao vilabuni umeonesha kabisa kuwa mafanikio ni kitu muhimu.
Hukumbuki Gerald alivyosota Chelsea!?
Ole anavyohenya leo pale Man U!?
Zidane credit,na ndo pekee aliyekuja kwa mafanikio.
Sasa huyu weno wa Kuwait,hana hata Mapinduzi Cup ya huko alikopita,unategemea nini.
Akifika mwezi wa 6 mwakani,nakupa Elfu 50,utanikumbusha.
Maana umemuongelea Gerrard kwa timu ya Chelsea, kitu ambacho siyo sahihi.
Kuna mashabiki wengi wa mpira wa Tanzania wenye sifa tupu kama yako, wengine ni viongozi.
Kwakuwa tuna mashabiki wengi wasiojua kazi ya kocha na changamoto zake, sitoshangaa kocha huyu akadumu Simba kwa miezi 6 au hata miezi mitatu.




