Qwy
JF-Expert Member
- Nov 23, 2018
- 6,236
- 31,197
Hakuna kama baba 😍[emoji106][emoji106][emoji106] Nani kama baba.
Mapenzi ndiyo haya View attachment 2003426
AmenNa tuseme "Amin"View attachment 2003429
Kwan ule msemo wanasema "ng'ombe haelemewi na nundu/ pembe zake/lake" huwa n uongo!🤨🤨
Kilihusu nn jameni.......
Yan usithubutu kukutwa asee, acha kabsa "kula mbakishie baba" yaan unapigwa na haukomi bado unang'ang'ana hahahahah zaman watu tulikuwa wavumilivu 🤣Kula mbakishie baba[emoji41]View attachment 2003470
Ni inahusiana na nn.............Staying hard? [emoji848][emoji848]
View attachment 2003492
Zao limekubaliView attachment 2003478
Hahahahhhhah n mmarangu huyu, et hana mbele wala nyuma jaman.......hawa walipewaga rangi na vsura s haba
S n kweli mnavyokuwaga, wanasema mwsho wa mawindo mbwa hana thamani..........😂😂😂😂Eti anza midharau [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2003521
Wacha weeeeh
Hahaha mie nilikuwa nadundwa na nilivyokuwa libonge[emoji1787]Yan usithubutu kukutwa asee, acha kabsa "kula mbakishie baba" yaan unapigwa na haukomi bado unang'ang'ana hahahahah zaman watu tulikuwa wavumilivu [emoji1787]
Hii imenikumbusha juz nlikamatwa naendesha lori na sna leseni pale bago, loooh nlivurugwa jaman nilichanganyikiwa..........nlikaa lisaa limoja dooh! Hatmaye nkatoka woi walijua kunijambisha wale matrafkiSina leseni[emoji3064
Wanaojua hawasemiKilihusu nn jameni.......
S kwa huyu married jaman
I'll be back as i am 😎.........Mtuambie jamani[emoji2369]View attachment 2003602
Wangekukunja na kukuweka kwenye pochi[emoji1787]Hii imenikumbusha juz nlikamatwa naendesha lori na sna leseni pale bago, loooh nlivurugwa jaman nilichanganyikiwa..........nlikaa lisaa limoja dooh! Hatmaye nkatoka woi walijua kunijambisha wale matrafki
Sawa tuu nmeachwa(Mungu amrehem huko aliko) na mama aliyenileta kwny hii dunia sembuse yy.........😎😎Yaani kuachana[emoji41]View attachment 2003601