Vituko mitandaoni. Tupia chako

[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 2000755
Wamama wamepewa uzto mnoo kuliko wababa, me nmelelewa na baba najikuta nazd kupambana kwa sababu yake vle anapambana mnoo kwa ajili yangu........🤨.najikuta tu nawaonea iman sana wababa maana wanapambana mnooo pia, tusiwasahau jamen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…