Biashara yako mi inanisaidia nini? Na mkifanikiwa tu kidogo mnavyoringa dah!Biashara ni yako, siyo yangu.
Yangu nitaigharamia.View attachment 1997822
Muhimu ushibe, uwe na kitendea kazi cha kueleweka, afya imara na tumazoezi zoezi ufanye! Vinginevyo unaweza kushindwa kutetea heshima ya ukoo!Aiseeee
Siyo mchezo![]()





