Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 28,758
- 146,975
Utanipa nini?...sitajagi majibu bure[emoji41]Kwenye kikao hiki kuna paka 4, unaweza kuonyesha alipo paka wa 4?View attachment 1993469
Ankali[emoji3061]
Utanipa nini?...sitajagi majibu bure[emoji41]Kwenye kikao hiki kuna paka 4, unaweza kuonyesha alipo paka wa 4?View attachment 1993469
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Endelea kucheka cheka ila hautaamini macho yako siku akiingia box, ukiachia mwanamke wako aendelee kujazwa maneno matamu ipo siku yatamuingia na hatkuja kukuhadithia kilichofuatia....ha ha ha ha!!!
Hahahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]Duuu.Utanipa nini?...sitajagi majibu bure[emoji41]
Ankali[emoji3061]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] warwa, nyama na njowarwa,nyama na nyoooView attachment 1991173
[emoji16][emoji16][emoji16]Mama yangu huyu kabisaaa[emoji849][emoji849][emoji849]View attachment 1993383
Sipendagi ujinga mieHahahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]Duuu.
Na vp km mdai ataamua kumuweka chumba cha uan ktk nyumba yake na kumgharamia mahitaj yote mpaka kifungo chake kitakapoishaCha kwanza mali zake zinazohamishika na zisizohamishika zinakamatwa na dalali wa mahakama.
Zinathaniniwa kuona kama zinafanana na madeni anayodaiwa.
Zitauzwa, atalipwa mdeni wake.
Ikiwa hazikidhi haja, mdeni anaruhusiwa kwenda kumuhifadhi jela kwa sharti la kumpelekea chakula mpaka amalize kifungo chake.