Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
FB_IMG_16356656221347981.jpg
 
Kwa wajuvi wa mambo ya sheria huyu 'mura' akishindwa kulipa pesa na kama hana hata mali za thamani(I mean za kuweza kutaifisha if need be) ndiyo kifuatacho inakuwaje?
Cha kwanza mali zake zinazohamishika na zisizohamishika zinakamatwa na dalali wa mahakama.
Zinathaniniwa kuona kama zinafanana na madeni anayodaiwa.
Zitauzwa, atalipwa mdeni wake.
Ikiwa hazikidhi haja, mdeni anaruhusiwa kwenda kumuhifadhi jela kwa sharti la kumpelekea chakula mpaka amalize kifungo chake.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eti eeh, bora kuyanyonya tu au vipi.
Ila kuchezea chuchu kama unabadilisha 'mitabendi' huku vidole ukiwa umevipa utelezi ni level nyingine[emoji91][emoji91]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cha kwanza mali zake zinazohamishika na zisizohamishika zinakamatwa na dalali wa mahakama.
Zinathaniniwa kuona kama zinafanana na madeni anayodaiwa.
Zitauzwa, atalipwa mdeni wake.
Ikiwa hazikidhi haja, mdeni anaruhusiwa kwenda kumuhifadhi jela kwa sharti la kumpelekea chakula mpaka amalize kifungo chake.
Shukrani kwa highlights.
 
Back
Top Bottom