Kaiba jina la hospital ya wazazi pale Meta[emoji849]View attachment 1991271
Daah huyu mdudu, ngoja namm nimpigie Bonge mate yamejaa ghaflaLeo tupo hapaView attachment 1991969
Weni talenti wozi real
Labda Msukuma.......huyu Ngosha kabisaTukuangushe tumerogwa?
View attachment 1991194
[emoji2][emoji2] punguza udaku ww. Mi kuku mgeniiiiiNaona umejiunga juzi tu ila unaonekana kama mwenyeji mwenyeji hivi. Zamani ulikuwa unatumia ID gani? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji870][emoji870][emoji870]
View attachment 1991532
[emoji2][emoji2] akiingia tu ajue ameingia uwanja wa vitaHii ni awesome idea lazima ifanyiwe kazi, hata 'mgeni' husika akiingia lazima ajue ameingia kwenye maskani ya 'shughuli' hivyo aombe kabisa maji ya kunywa ya kutosha yasiwe mbali na uwanja wa vita yaani yawe yanafikika bila kuharibu kindumbwendumbwe.
Kwa sisi ambao tayari tuko 'dabo' ukileta fundi atengeneze hii kitu lazima utaulizwa uliionea wapi, bora lawama lakini kwani ni mchongo mujarabu.
Dah!! Ndo itengenezwe kbs [emoji2]Sio lazima kutubu maana wengi tunatumia na wake zetu hivyo ni halali kabisaaaa
Ubunifu muhimu katika ndoa lah sivyo hamtadumu mpaka pale kifo kiwatenganisheDah!! Ndo itengenezwe kbs [emoji2]
[emoji23] dah hii noumaaa