Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 370,438
- 857,729
- Thread starter
- #80,081
Hukusimamisha.. Ulidindisha[emoji28][emoji23]Mbingu utaisikia kwenye Tivii tu[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1991539
Hukusimamisha.. Ulidindisha[emoji28][emoji23]Mbingu utaisikia kwenye Tivii tu[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1991539
[emoji23]wasiokomaa wanakuwaje[emoji2902]Kuna ukweli mwingi katika hili...hasa kwa wapenzi ambao hawajakomaa!
Sabaya bee kwa utamu wa dakika[emoji31][emoji31][emoji31]Ukijichanganya unakula Sabaya mbili!
View attachment 1991535
Hahaha[emoji23] ShiiiimbaaaKwa mwanamke mweupe sisi Wasukuma tunaweza kutoa ng'ombe zizi zima na hela zote za pamba. Tena ukiwa mrefu una msambwanda halafu umesoma soma hivi uwiii...
View attachment 1991513
Hahaha[emoji23]Huyu baharia dah [emoji15][emoji15][emoji15]
View attachment 1991505
Labda...[emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1991508View attachment 1991509View attachment 1991510
Tamaa tu[emoji35],itakuwa hana wazazi mpuuzi huyu[emoji35]Huyu baharia dah [emoji15][emoji15][emoji15]
View attachment 1991505
Labda...[emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1991508View attachment 1991509View attachment 1991510
Hii ni awesome idea lazima ifanyiwe kazi, hata 'mgeni' husika akiingia lazima ajue ameingia kwenye maskani ya 'shughuli' hivyo aombe kabisa maji ya kunywa ya kutosha yasiwe mbali na uwanja wa vita yaani yawe yanafikika bila kuharibu kindumbwendumbwe.
Hii ni moja ya 'kitu' ambayo wanaoishi nje ya Tz humiss sana, nchi ya vitumbua vya moto. Nchi nyingine hazina hii 'kitu'.Kabisa yaani...tena ukipate kitumbua cha moto kimeumuka chenye mafuta mafuta kinene uwiiii !!![emoji16][emoji16][emoji2099]
View attachment 1991492
[emoji817][emoji3581]