Allah anakuona,
Sio lazima kutubu maana wengi tunatumia na wake zetu hivyo ni halali kabisaaaa
Ameolewa lakini sio kiviile[emoji1787]
Umenikumbusha ngoja nivipike[emoji39]Kabisa yaani...tena ukipate kitumbua cha moto kimeumuka chenye mafuta mafuta kinene uwiiii !!![emoji16][emoji16][emoji2099]
View attachment 1991492
Sisi ndo sisi bwana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Anaweza akasema na hakuna kitu unafanya vile vile [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1991501
Hatimae kaamua kutulia,now anaitwa mama amejifungua baby girl,ndio maana waswahili wanasema ukimchunguza sanaa ...... hutamla.Huyu baharia dah [emoji15][emoji15][emoji15]
View attachment 1991505
Labda...[emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1991508View attachment 1991509View attachment 1991510
Nimechemka hapa,kunamahali walikuwa wanamuongelea Vera kujifungua nikachanganya mafaili.Hatimae kaamua kutulia,now anaitwa mama amejifungua baby girl,ndio maana waswahili wanasema ukimchunguza sanaa ...... hutamla.
wa masaki tunasema dustbin [emoji16]
Tena wa kiboshoNimechemka hapa,kunamahali walikuwa wanamuongelea Vera kujifungua nikachanganya mafaili.
Ili nilichoshangaa kumbe huyo sanchoka ni mtanzania aliyezaliwa Kilimanjaro?
Probably ni mchaga??!
Hahahahahahahah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1991333
Mimi nilikuwa naongelea "kitumbua" na wewe kha! [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Umenikumbusha ngoja nivipike[emoji39]