Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Na hua mnatafuta nini huko kwenye ma dogy style?
Huu ufundi mwingi ndo kukosea na jia,na kuja kukosa hamu ya kula kwakupata kinyaa!!![emoji85][emoji85][emoji12][emoji12][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua barabara zipo nyingi na kila moja haikosi changamoto zake na raha zake[emoji23] kuna lami, kuna ya mashimo kuna za matope[emoji28]
 
Unachukua mafuta unampaka mwenyewe. Tena unaweza kupitiliza ikageuka kuwa session ya sensual massage...anaweza kuiparamia Mawenzi kirahisi tu...ila awe sophisticated na aelewe kinachoendelea...wengine atagangamara utafikiri unataka kumchinja [emoji706][emoji706][emoji706]
Legendi[emoji23]
 
Shimbaaaa
giphy.gif
 
Mallya: Shahidi unaposikia neno terrorist ni Nini?

Shahidi: Ni ugaidi?

Mallya: Na terrorism?

Shahidi: Ni masuala ya utalii, anajibu shahidi na kuibua vicheko

Mallya: Ni kweli ulikwenda mpaka Labanon kusomea?

Shahidi: Ndio
#UpdatesKesiMbowe #MwananchiUpdates

[emoji1542]Huyu shahidi huyu, dah! mpe neno moja tu.[emoji23]
FB_IMG_1635602357813.jpg
 
Back
Top Bottom