Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Parachichi limeiva kuliko hata mbususu dah!
Parachichi limeiva kuliko hata mbususu dah!
Haya tutaona siku hiyo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji123][emoji123][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Ndio ni lazima unifikishe [emoji41]
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anapumzika sanaaa.
Machinga huwa wanalipuka na kutoweshwa.Miaka mitano? Machinga wamekuwepo kwa miaka mitano tu? [emoji848][emoji848][emoji848]
[emoji12][emoji12][emoji12]Haya tutaona siku hiyo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji123][emoji123][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Aisee this analysis is perfect and a quarter half[emoji23]View attachment 1980888
View attachment 1980889
View attachment 1980890
View attachment 1980891
View attachment 1980892
View attachment 1980893
View attachment 1980894
Upande wangu si kwel na aliefanya hiv analake jambo
Hahahaha[emoji23]Agodai mabebe[emoji38]View attachment 1980930
Nimekaa gheto moja miaka 2-3 na mwanangu mmoja wa kisomali hivi around 2012,alikuwa anakula hii kitu siku zote 365/365 lkn sikuwahi kushawishika kula hii,thnx God[emoji120]Matembele kutoka Meru KenyaView attachment 1980631
Ila ujue haya macho ma3 ya apple ni matusi!?[emoji23]MACHO MATATU[emoji38][emoji38]View attachment 1980972
Huo unaitwa uraibu.. Hilo jani limeondoka na ndugu yangu wa damu na rafiki wa utotoni..RIP Tino.. Kansa ya paa la kinywa.. Mzigo ulikuwa haubanduki mdomoniNimekaa gheto moja miaka 2-3 na mwanangu mmoja wa kisomali hivi around 2012,alikuwa anakula hii kitu siku zote 365/365 lkn sikuwahi kushawishika kula hii,thnx God[emoji120]
Mida hii naandika hii comment ndo mida yake ya kuamka anoga[emoji370],anaswali[emoji2969]swala zote zilizompita,anakula[emoji492],akimaliza anaenda kutafuta zaga...awe na hela asiwe nayo atapata tu.
Akirudi gheto saa mbili usiku anasaga gomba[emoji263]mpk alfajiri,anaoga[emoji370]anaswali[emoji2969],anakula[emoji492],analala[emoji932](REPEAT)[emoji24]