Umeibuka. Jana tulikuwa tunakusema kuwa una tabia ya kuibukia kwenye topiki zenye utata [emoji16][emoji16][emoji16]Kuipata koneksheni yake ina masharti? Natamani kuionamo shemeji
Maisha yote !!Nimekaa gheto moja miaka 2-3 na mwanangu mmoja wa kisomali hivi around 2012,alikuwa anakula hii kitu siku zote 365/365 lkn sikuwahi kushawishika kula hii,thnx God[emoji120]
Mida hii naandika hii comment ndo mida yake ya kuamka anoga[emoji370],anaswali[emoji2969]swala zote zilizompita,anakula[emoji492],akimaliza anaenda kutafuta zaga...awe na hela asiwe nayo atapata tu.
Akirudi gheto saa mbili usiku anasaga gomba[emoji263]mpk alfajiri,anaoga[emoji370]anaswali[emoji2969],anakula[emoji492],analala[emoji932](REPEAT)[emoji24]
Aseee, pole.Huo unaitwa uraibu.. Hilo jani limeondoka na ndugu yangu wa damu na rafiki wa utotoni..RIP Tino.. Kansa ya paa la kinywa.. Mzigo ulikuwa haubanduki mdomoni
Haswaa [emoji23][emoji23]
Cheers kamanda
[emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji2937][emoji2937]Cheers kamanda
View attachment 1981099
Dah[emoji2]Em toa jibu kama wewe ndo ungekuwa Messi...View attachment 1981002
Hahahaha... UrodaIla sijui utamu upiii!!View attachment 1981036