Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 370,352
- 857,453
- Thread starter
- #78,121
Naomba ya buku 5 nipike mchanaMatembele kutoka Meru KenyaView attachment 1980631
Naomba ya buku 5 nipike mchanaMatembele kutoka Meru KenyaView attachment 1980631
Ilikuwa mwaka gani?.
Mbona imekuwa ghafla hivi 😔Lazima huolewe haraka! View attachment 1980269
Safi mji umependeza
Jiji linaanza kutakata sasa baada ya uchafu wa miaka mitano
Miaka mitano? Machinga wamekuwepo kwa miaka mitano tu? [emoji848][emoji848][emoji848]Jiji linaanza kutakata sasa baada ya uchafu wa miaka mitano
Nani lakini aliwadanganya kuwa kitandani ni lazima mfikishwe? CAGvsSPEAKER hebu njoo huku utie neno [emoji16][emoji16][emoji16]
Atafutwe huyu bro na atunukiwe nishani ya heshima [emoji122][emoji122][emoji122]