Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hahaha asikuhangaishe STAMINA mkuu ni mjinga yule[emoji38][emoji38][emoji38]
Ila siku hizi vya matusi ndio vinapendwa kweli[emoji23]kasoro JF.. Ukiyumba kidogo tu red card
giphy.gif
 
Nimekaa gheto moja miaka 2-3 na mwanangu mmoja wa kisomali hivi around 2012,alikuwa anakula hii kitu siku zote 365/365 lkn sikuwahi kushawishika kula hii,thnx God[emoji120]

Mida hii naandika hii comment ndo mida yake ya kuamka anoga[emoji370],anaswali[emoji2969]swala zote zilizompita,anakula[emoji492],akimaliza anaenda kutafuta zaga...awe na hela asiwe nayo atapata tu.

Akirudi gheto saa mbili usiku anasaga gomba[emoji263]mpk alfajiri,anaoga[emoji370]anaswali[emoji2969],anakula[emoji492],analala[emoji932](REPEAT)[emoji24]
Hakuwa na kazi!
 
Aisee kwa hii age group kapatia sana. Karibu kila mmoja unayekutana naye analia kupotezewa muda na njemba iliyopiga mbususu kwa miaka 3+ halafu ikasepa na ikamvurugia mipango ya kuolewa kabla ya kuvuka 30. Wana uchungu na hasira hao usiombe. Ukideti nao be careful kwa sababu hawataki tena kupotezewa muda...
JamiiForums1051028402.jpg
 
Back
Top Bottom