Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hivi juzi aliona lile "beche"la pops ako? Haki atamrudia[emoji188][emoji188][emoji188]
Hahaha hawezi kumrudia. Tatizo pops angu mbahili ndiyo maana kaachwa. [emoji1787][emoji1787]

Na bi mdash mwenyewe kama unavyomjua mwanaume hata uwe mwema kiasi gani na hata uwe na muonekano anaoupenda ila kama una mkono wa birika sahau. Labda akupende bure kutoka moyoni. [emoji3][emoji3]
 
Teh mwambie pops apunguze upare.

Kitambo akiwa kijana kuna comment aliandikaga eti akimuita binti; on their first date anamnunulia tu kinywaji hakuna msosi. Kama ukifanikiwa kwenda next round ndiyo utaanza kununuliwa msosi; jamani nilicheka mweeh. Sasa ndiyo kakutana na bi mdashi mweeh
Hahaha hawezi kumrudia. Tatizo pops angu mbahili ndiyo maana kaachwa. [emoji1787][emoji1787]

Na bi mdash mwenyewe kama unavyomjua mwanaume hata uwe mwema kiasi gani na hata uwe na muonekano anaoupenda ila kama una mkono wa birika sahau. Labda akupende bure kutoka moyoni. [emoji3][emoji3]
 
New comer
IMG-20211018-WA0115.jpg
 
Back
Top Bottom