Basi wa nne naomba awe anatokea kule kanda maalum. Huyo wa tatu tufanye awe Heaven Sent naye mahari napokea mwenyewe.Na ili kukata mzizi wa fitina nimeshaapa kuwa mke wangu wa tatu lazima awe Mnyaki.
Mke wa kwanza Msukuma [emoji818]
Mke wa pili Mnyiramba [emoji818]
Mke wa tatu Mnyaki....[emoji848][emoji848][emoji848]
Hamna huyo anajitoaga ufahamu tu humu ila ni waifu matirio kabisa. Sasa huyo ningependa umchukue awe wa nne mara baada tu ya kumuoa HS kama mke wa tatu.Huyu alishanikataa zaidi ya mara 4. Anasema eti mi furushi. Hovyo tu yaani [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Aahh wacha tukutafutie tu baba mwingine tukugawe ili tupate hela maana baba wa Heaven Sent ulimkataa baba yangu naye umemkimbia! Hivi mababa wa Hazard CFC na Da'Vinci ni nani na nani? [emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]Umeamua kumdalalia mama yako si ndio!! Watoto wa siku hizi[emoji2297][emoji2297][emoji24]
Za maboga au [emoji3][emoji3]Kumbe ndio maana unatafuta zile mbegu za manini sijui[emoji2297]
Hiyo ni ramli chonganishi sasa [emoji3][emoji3]Hapo nakuunga mkono, ukioa mnyaki tuna uhakika ufurushi unaenda kukuisha rasmi. Maana hawataki mchezo mchezo.
Basi wa nne naomba awe anatokea kule kanda maalum. Huyo wa tatu tufanye awe Heaven Sent naye mahari napokea mwenyewe.
Aahh wacha tukutafutie tu baba mwingine tukugawe ili tupate hela maana baba wa Heaven Sent ulimkataa baba yangu naye umemkimbia! Hivi mababa wa Hazard CFC na Da'Vinci ni nani na nani? [emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]