Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Aisee Kwahio tulipigwa?mchumba halisi ni yupi sasa?
.
IMG_20211017_175823.jpg
 
Nasaka mke wa tatu bageshi. First born wetu anao wanne. Mimi nataka nikomee watatu. Kama kuna kabinti ka Kisukuma huko at least 35+ nifanyie connection nkoyi...Nakūlūmba no no no [emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Karibu Misungwi mjini ukipata nafasi bageshi. Ulizia kwa mzee Shimba yule mkulima maarufu wa dengu na nyanya.
Kumbe ndio maana unatafuta zile mbegu za manini sijui[emoji2297]
 
Na ili kukata mzizi wa fitina nimeshaapa kuwa mke wangu wa tatu lazima awe Mnyaki.

Mke wa kwanza Msukuma [emoji818]

Mke wa pili Mnyiramba [emoji818]

Mke wa tatu Mnyaki....[emoji848][emoji848][emoji848]
Hapo nakuunga mkono, ukioa mnyaki tuna uhakika ufurushi unaenda kukuisha rasmi. Maana hawataki mchezo mchezo.
 
Back
Top Bottom