Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

IMG-20211017-WA0022.jpg
 
Nitakuwa wa mwisho kuamini labla mlikuwa mnachemsha chai mara moja kwa mwezi
,kama kuvusha bila kutumia labda siku mbili au tatu lakini najua ni vigumu kuamini ila hata sisi ilipomaliza mwaka na ushee ikawa kila tukiwasha tunajua leo siku ya mwisho lakini wapi,ni miezi miwili ya kwanza tu baada ya kujaza ndio ilikaa bila kutumika maana tulisafiri
 
Back
Top Bottom