T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,932
- 30,087
Vizuri sana kama ni njema kabisaNjema kabisa,za kuadimika
Hapana sijaandimika perhaps tunapishana tu mkuu
Vizuri sana kama ni njema kabisaNjema kabisa,za kuadimika
Kweli,mie nipo hapa naibembeleza kuku itage,yaaniVizuri sana kama ni njema kabisa
Hapana sijaandimika perhaps tunapishana tu mkuu

Labda yalikua mazuri,baada ya kukupata yakabadilika kua mabaya. So elewa kwanza.....yamebadilikia kuzuri au kubaya.
Enhee! Linafanya?Hahaha...nilikuwa najaribu ili nithibitishe na kujiaminisha kuwa ni kweli vumbi linafanya kazi kama wanavyosema watumiaji?
Nilisahau bwana! Nakuja tena soon, nitakutafuta.Mmmmh....
Uliona ugumu upi/gani kunitafuta/taarifu kama upo mwanza ili tuonane/kutane?
Sijapenda kwa kweli
Haha...linafanya bhanaEnhee! Linafanya?

Maelezo kidogo namna ya kuzitumia izo mbegu z mlonge na mabogaHaileti mantiki maana kupunguza sensitivity kwenye kichwa hata kudindisha itakua tabu.
Bora niendelee na mbegu za maboga ambazo ni scientifically proven japo huchukua muda kabla kuanza kuona matokeo, ilinichukua miezi kadhaa, pia mbegu za mlonge au moringa seeds.
Maelezo kidogo namna ya kuzitumia izo mbegu z mlonge na maboga
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Basi sawa!Haha...linafanya bhana![]()