Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

IMG_20211014_085530.jpg
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sijui ni bangee amaaa......🤨🤨😆😆😆😆😆

Yaani huku anakata gogo vichakani akaona ajiselfie.....

Mara paaap kwenye camera yake anavyo jiselfie anaona mzee wa kutambaa aka nyoka anatoa ulimi wake kwenye hayo majani....

Sijui ataruka au atamaliza kwanza haja.....!!!🤨🤪🤪
 
Mbona nimekamatika [emoji23][emoji23][emoji23]mwenzako ukinitafuta makosa kwenye kiswahili basi hapa ndio kwao sijuagi vizur
Ndiyo maana SYB alisema huko juu kwamba Kiswahili na lugha zetu za kienyeji kwa warembo kama wewe ni mtihani.
Lugha zenu ni Kichina, Kispain, Kijerumani, Kifaransa, Ki Urdu nk.
Lugha za nyumbani Afrika tuachieni sisi Kabwela[emoji23]
 
Sent from my SM-J810F using JamiiForums mobile app
Sio kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787]mi naongea mpaka kimasai na kihadzabe
 
Mtu utakuta dada zake nyumban hawana hizo chura harafu anataka MWANAMKE mwenye chura my wangu chura has got with agnesi masogange vimebaki vifaa vya kulaliae tu kama vp zaa wako tuone[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]
Chura wa dada zetu za nini ?
Chura za dada zinawahusu wengine
 
Back
Top Bottom