babyfancy
JF-Expert Member
- Oct 20, 2018
- 2,176
- 6,188
Mbona nimekamatika [emoji23][emoji23][emoji23]mwenzako ukinitafuta makosa kwenye kiswahili basi hapa ndio kwao sijuagi vizurUgari[emoji777]
Ugali[emoji3581]
Mbona nimekamatika [emoji23][emoji23][emoji23]mwenzako ukinitafuta makosa kwenye kiswahili basi hapa ndio kwao sijuagi vizurUgari[emoji777]
Ugali[emoji3581]
Lugha gani unatumia zaidi?Mbona nimekamatika [emoji23][emoji23][emoji23]mwenzako ukinitafuta makosa kwenye kiswahili basi hapa ndio kwao sijuagi vizur
Ata kama usipojua kuimba,siye kigezo chetu ni kimoja tu,unachura?Me level za akina beyonce hao wachucha sauti hawanifiki hata theluthi
HahahahahAta kama usipojua kuimba,siye kigezo chetu ni kimoja tu,unachura?
Itachoka mwenyewe kunirekebisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jilani[emoji777]
Jirani[emoji3581]
Amekua mbele ya macho ya waTZ na kwa sasa ni moja kati ya wasanii wa kike mwenye pesa zaidi.
Hahahaha.. Ndio maana nimekuuliza ni lugha gani unatumia zaidi?Itachoka mwenyewe kunirekebisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Natumiaga kiswahili na nger ila naona kiswahili kinanipaga changamoto sanaLugha gani unatumia zaidi?
Sio mbaya, ukiendelea kutumia JF naamini lugha Itakukaa sawa sawia.Natumiaga kiswahili na nger ila naona kiswahili kinanipaga changamoto sana
Chura wanapatikana kwenye vidimbi mmesikia nawafuga? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ata kama usipojua kuimba,siye kigezo chetu ni kimoja tu,unachura?
Au naongopa ndugu zanguni[emoji16],,,siye twataka chura a.k.a msambwanda[emoji1419]Hahahahah
AMINA KUBWA MKUU [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]Sio mbaya, ukiendelea kutumia JF naamini lugha Itakukaa sawa sawia.
Itakubidi uanzishe huo mradi wa kufuga chura,,,,,maana ndo kitu tunapenda mshabiki wa mziki mzuri[emoji1787]Chura wanapatikana kwenye vidimbi mmesikia nawafuga? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
...kwa buku jero [emoji3][emoji3][emoji23][emoji1787][emoji16]Au naongopa ndugu zanguni[emoji16],,,siye twataka chura a.k.a msambwanda[emoji1419]