babyfancy
JF-Expert Member
- Oct 20, 2018
- 2,176
- 6,188
Sasa kama kuna mnyama anakula upande wa pili wa huo ugari utamuona kweli?Mbwa tena!!
Inakuwaje mkuu?
Ni misukule au..
Unanitisha mpendwa
Sent from my SM-J810F using JamiiForums mobile app



Sasa kama kuna mnyama anakula upande wa pili wa huo ugari utamuona kweli?Mbwa tena!!
Inakuwaje mkuu?
Ni misukule au..
Unanitisha mpendwa
Sent from my SM-J810F using JamiiForums mobile app



.....Aisee ni kweli. Ni sawa sawa na mtu wa kokeini. Akitiwa lupango kidogo anapata ahueni na kama ana washauri wazuri wa saikolojia anaweza kuachana na uraibu huo kabisa.
Ban mimi nazipenda kwa sababu kusema kweli unapumzika na uraibu wa JF. Wiki moja ya kutoingia hapa kidogo nimeweza kutafakari mambo kadha wa kadha na kupumzika. Hizi memes nazo ni uraibu kwa kweli kwa sababu ukiiona nzuri mahali ni lazima uje kuiweka. Tunapoteza muda sana hapa kwenye JF yao japo pia ni kijiwe muhimu sana pia...
Nikichoka tena najua jinsi ya kujipatisha ban nitamkorofisha tu mods nitandikwe nyingine hata ya mwezi mzima. Wajukuu zangu wanajua mahali pa kunipata![]()
Vipi mjukuu?.....
Ndiyo. Polepole tu mpaka mwaka huu ukaishe utakuwa ushakifahamu kabisa. Ila nyie maandaeitini lugha hizi za Kiafrika mnaziona za kishamba hazina thamani. Si ajabu hapo hata lugha ya kikwenu huifahamu. Kazaneni na maKingereza, Kifaransa na Kichina yenu hukoSijambo naona usha anza kunifundisha kisukuma![]()

Wee me napenda kilugha sana na pia najua na baadhi ya lugha za makabila jilani kama 3 kifaransa kinanichanganya akili nakipenda ila kilikatishaga tamaa form two na pia naenjoy kujua lugha mbali mbaliNdiyo. Polepole tu mpaka mwaka huu ukaishe utakuwa ushakifahamu kabisa. Ila nyie maandaeitini lugha hizi za Kiafrika mnaziona za kishamba hazina thamani. Si ajabu hapo hata lugha ya kikwenu huifahamu. Kazaneni na maKingereza, Kifaransa na Kichina yenu huko![]()
Shwari kabisa.....shikamoo babuVipi mjukuu?



Chama cha malastborn Tanzania (CHAmaLaTA)Malast born tuwe na chama chetu kwa kweli...ila sasa viongozi wanaweza kuzira anytime mpaka wabembelezwe![]()
Nasubiri hapa yaani,anafananaje??Jaman atanifanyia surprise![]()

Mimi huyo naenda kutambulishwa kaeni hivyo hivyo kizembeNasubiri hapa yaani,anafananaje??![]()




Umejipangaje,kule zuchu,kule Angela kati weweMimi huyo naenda kutambulishwa kaeni hivyo hivyo kizembe![]()

UgariSasa kama kuna mnyama anakula upande wa pili wa huo ugari utamuona kweli?![]()


JilaniWee me napenda kilugha sana na pia najua na baadhi ya lugha za makabila jilani kama 3 kifaransa kinanichanganya akili nakipenda ila kilikatishaga tamaa form two na pia naenjoy kujua lugha mbali mbali


Me level za akina beyonce hao wachucha sauti hawanifiki hata theluthiUmejipangaje,kule zuchu,kule Angela kati wewe![]()