moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 158,234
- 775,715
Kinjekitire ngwale enzi zake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Neno moja kwa kijanaView attachment 1973883
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1973853
Sura kama herode wa kwenye bible, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wababa wanao valia surual tumbon taarifa zao tunazo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahahaha jiraniNdiyo maana SYB alisema huko juu kwamba Kiswahili na lugha zetu za kienyeji kwa warembo kama wewe ni mtihani.
Lugha zenu ni Kichina, Kispain, Kijerumani, Kifaransa, Ki Urdu nk.
Lugha za nyumbani Afrika tuachieni sisi Kabwela[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...Au nasema uongo jiraniHahahahaha jirani
Avishwe marinda.. 😂 🤣 🤣
Hahahaha[emoji23]Nipeni na GB za ofa bac nijue tuko pamoja kwenye majonzi[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji22][emoji22]View attachment 1973930