babyfancy
JF-Expert Member
- Oct 20, 2018
- 2,176
- 6,188
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375]mbafu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375]mbafu
Akina ngosha hao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jamani nisaidieni hawa majirani zangu ni kabila gani ?
View attachment 1973394
Yaani huo ugani mnaweza kuwa mnakula na mbwa other side na msitambue[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jamani nisaidieni hawa majirani zangu ni kabila gani ?
View attachment 1973394
Hakuna pa kukimbilia. Ushoga na usagaji umepigiwa kampeni sana mpaka umeanza kuonekana kuwa jambo la kawaida tu. Dunia!
Aisee ni kweli. Ni sawa sawa na mtu wa kokeini. Akitiwa lupango kidogo anapata ahueni na kama ana washauri wazuri wa saikolojia anaweza kuachana na uraibu huo kabisa.Hongera kwa pumziko jema kamanda.
Uraibu wa hapa nao ni mgumu aisee, kuna wakati unaona heri upumzishwe kidogo,
Ingawa ukiwa mapumzikoni unajikuta kuwamiss vijukuu vyako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ng'wangalūka?Akina ngosha hao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio nini?Ng'wangalūka?
Wasukuma hao. Kwenye msosi na kushughulikia mbususu huwa hawajivungi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji123][emoji123][emoji123]Jamani nisaidieni hawa majirani zangu ni kabila gani ?
View attachment 1973394
Hujambo? [emoji16][emoji16][emoji16]Ndio nini?
Sijambo naona usha anza kunifundisha kisukuma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hujambo? [emoji16][emoji16][emoji16]
Huyu ni tabu mtingita enzi zake[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee ni kweli. Ni sawa sawa na mtu wa kokeini. Akitiwa lupango kidogo anapata ahueni na kama ana washauri wazuri wa saikolojia anaweza kuachana na uraibu huo kabisa.
Ban mimi nazipenda kwa sababu kusema kweli unapumzika na uraibu wa JF. Wiki moja ya kutoingia hapa kidogo nimeweza kutafakari mambo kadha wa kadha na kupumzika. Hizi memes nazo ni uraibu kwa kweli kwa sababu ukiiona nzuri mahali ni lazima uje kuiweka. Tunapoteza muda sana hapa kwenye JF yao japo pia ni kijiwe muhimu sana pia...
Nikichoka tena najua jinsi ya kujipatisha ban nitamkorofisha tu mods nitandikwe nyingine hata ya mwezi mzima. Wajukuu zangu wanajua mahali pa kunipata [emoji16][emoji16]
Hahahahahahaha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2]kwani ni akina nani
Kumbe ndiyo maana,Matambiko ya kuutafuta uwaziri? [emoji15][emoji15][emoji15]
View attachment 1973297
Mbwa tena!!Yaani huo ugani mnaweza kuwa mnakula na mbwa other side na msitambue[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]