Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kijijini huko late early to late 60s kumpata demu wa Kisukuma ilikuwa mtihani aisee...Hali hii iliendelea mpaka 70s to late 80s. Halafu pesa zikachukua mkondo wake..
View attachment 1968009
60s na 70s ulihadithiwa na nani kamanda?
Angalau 80s, 90 na 20.
Lakini 60 na 70 mzee tafadhali sana aisee[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Wapi
FB_IMG_16336674795990821.jpg
 
Kuna chain ya nguo tena kali sana inaitwa Mavi...
View attachment 1967053

Na kuna kinywaji mashuhuri sana huko Mexico na nchi za Latin America kinaitwa Mavi.
View attachment 1967055

Lugha - sauti za nasibu zilizokubaliwa na jamii-lugha ili zitumike katika mawasiliano yao. Ni sauti za nasibu kwa sababu hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya neno na kitajwa au kirejelewa. Ndiyo maana neno moja (mf. mavi) linaweza kuwa na maana tofauti katika lugha mbalimbali.
je sio kwamba ni sauti za nasibu Kwakua hakuna Mwanadamu aliyezaliwa na lugha yake bali huikuta popote pale atakapozaliwa na kuifanya lugha mama yake???
 
60s na 70s ulihadithiwa na nani kamanda?
Angalau 80s, 90 na 20.
Lakini 60 na 70 mzee tafadhali sana aisee[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Nimezaliwa mwaka 1945 wakati mbaya sana wa vita vya pili vya dunia. Miaka ya mwisho wa sitini huko ndo balekhe sasa...Najua sana ninachokiongelea. Dunia imebadilika mno!
 
Back
Top Bottom