Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Mweeh
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] maana naona siku hz wameibuka viranja wa kusema hakuna kurudia rudia vilivyopostiwa.
Sawa bosiNaombeni memes mlizopost ili nisizirudie maana ndio naanza kupost hivyo [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji2957]View attachment 1966834
Hukuona huo mjadala aisee[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Yaani ukifika huku; uangalie kwanza memes zote zilizopostiwa ili usirudie kuzipost. Mbona hekaheka
Duh[emoji23]Waacheni wajane jamaniView attachment 1966847
Hahahaha[emoji23][emoji22][emoji22]View attachment 1966858
Mhola sana bhagheshiBageshi [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Ūlīmhola nkoyi?
Hahahaha[emoji23][emoji119][emoji119]View attachment 1966861
Niko nyarugusu siku nyingiUmepotea. Waha wanakuficha sana au mmeshahamia Nyarugusu tayari?
Fikisha salama kwa shemeji na wapwa zangu. Nyote mbarikiwe [emoji1545]