Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 28,861
- 147,216
Sikulijua hilo mwenzangu[emoji16]Sana, haukulijua hilo?
Sikulijua hilo mwenzangu[emoji16]Sana, haukulijua hilo?
[emoji16],fanya kuwapumzishaWasukuma ndiyo wanaongoza kwa maajabu wakifuatiwa na Wanyakyusa, hii kutokana na tathmini ya haraka haraka hayo makabila mengine lolote linaweza kuchukua namba tatu.
Acha hizo basi na wewe. Wasukuma ni wapole na tunapenda utani tu na si vinginevyo bana [emoji51][emoji51][emoji51]Wasukuma ndiyo wanaongoza kwa maajabu wakifuatiwa na Wanyakyusa, hii kutokana na tathmini ya haraka haraka hayo makabila mengine lolote linaweza kuchukua namba tatu.
Hatari zaidi ya hatari,nishatupia selfie bado wewe babu[emoji2902][emoji2902]Simba Day iko poa hatari...
View attachment 1944722
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]haki nimecheka[emoji23]
Wapi hiyo selfie umetupia? Siku hizi hata nyumbani kwangu huji. Unaniudhi mpaka basi yaani.Hatari zaidi ya hatari,nishatupia selfie bado wewe babu[emoji2902][emoji2902]